Warembo
 wanaowania taji la Redd's Miss Tanzania 2012 wakiwa nje ya jengo la 
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro walipokwenda kuona vivutio vilivyomo humo wakiwemo wanyama na ndege.
Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2012 wakiwa katika picha ya pamoja na watalii waliofika katika Bonde la Ngorongoro 
Warembo wanaowania taji la Redd's Miss Tanzania 2012 wakipewa 
maelezo kuhusu picha zilizomo katika Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro.
Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2012 wakiwa na watalii wengine 
wakiangalia maajabu ya Bonde la Ngorongoro ambalo ni moja ya vivutio 
vinavyotarajiwa kuingia kwenye maajabu ya Dunia.
Kwa hisani ya blog za mikoa
 
 
No comments:
Post a Comment