Madereva wa pikipiki maarufu kama boda boda wakiwa kwenye foleni kusubiri mafuta katika kituo cha kinachouza bidhaa hiyo.
Mafuta aina ya
petroli yameadimika mjini Sumbawanga baada ya mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) kutangaza kushuka kwa bei ya mafuta .
Picha na Mussa Mwangoka wa blog za mikoa
No comments:
Post a Comment