Waandishi wa Habari wakiwa wamebeba mwili wa Marehemu kuelekea Makabirini
Mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi ukiwa kaburini
Mke wa marehemu Daudi Mwangosi akiweka Shada la Mauwa kwa machungu
Mke wa Daudi Mwangosi akiwa analia kwa uchungu katika kaburi la marehemu mumewe
Watoto wa Marehemu wakiwawanaweka mashada ya maua sasa
Mke wa marehemu Mwangosiakilia pembeni ya kaburi la mumewe
Dr Slaa akiweka Shada la maua
Dr Slaa Baada ya kumaliza kutoa heshima za mwisho
Mh. Mark Mwandosya na mkewe wakiweka shada la maua
Rais wa UTPC akiweka shada la Maua
Ndugu wa Marehemu akiweka shada la Maua
Mwenyekiti wa Mbeya Press Club akiweka shada la maua
Ndugu wa Marehemu akiweka shada la Maua
Mwenyekiti wa Mbeya Press Club akiweka shada la maua
Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu, Ndugu Joseph Mwaisango akiwa anatoa heshima zake za Mwisho katiaka Kaburi
Wananchi wakiwa wanarejea baada ya mazishi
Waandishi wa Habari
Kwa hisani ya blog ya Mbeya Yetu
Thanκ you fοr sharing yоur info.
ReplyDeleteI truly appreciate yοur еfforts аnd I will be waiting for your nеxt wrіte ups thanks onсe again.
Feel free to surf my homepage ... visit this web-site to order london tantric massage tailor made packages
You must participate in a contest for among the finest blogs on the web.
ReplyDeleteI will recommend this web site!
My site - best online dating site