Katibu
wa Jukwaa la wahariri, Neville Meena akizungumza kabla ya kuanza kwa
maandamano ya kulaani mauaji ya mwandishi wa habari wa kituo cha Channel
Ten, marehemu Daud Mwangosi. Maandamano hayo yalianzia katika Ofisi za
Channel Ten na kuishia katika viwanja vya Jangwani.
Maandamano yakianza
Hawa nao wakati mmoja ameziba mdomo, mwenzake akaziba macho kufikisha ujumbe wa kulaani mauaji ya Mwangosi


Hili ni moja ya mabango waliyokuwa nayo waandishi

Jese Kwayu (kushoto), Mzee Maro na mwezao wakiwa kwenye maandamano hayo jijini Dar es Salaam


Mwandishi Lauden Mwambona akiwa amefunga mdomo kama hivi wakati wa maandamano hayo

Waandamaji
wakielekea katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam kulaani
mauaji ya mwandishi wa Channel Ten, Daudi Mwangosi
Waandamanaji wakiwa na mabango yao
Katibu wa Jukwaa la Wahariri, Neville Meena akizungumza katika viwanja vya Jangwani
















Kwa hisani ya Habari Mseto blog, Swahilivilla blog
No comments:
Post a Comment