Tuesday, September 11, 2012

Waandishi waandamana kulaani mauaji ya Mwangosi


Mhariri Mkuu wa Channel Ten, Dinnah Chahali akiwa amezungukwa na waandishi wa habari wakati wa maandamano ya wanahabari jijini Dar es Salaam kupinga kuuawa kwa mwakilishi wa kituo hicho mkoani Iringa, Daudi Mwangosi.

No comments:

Post a Comment