Wednesday, September 26, 2012

Picha za mkutano wa NEC ya CCM mjini Dodoma


Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete akifuatana na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa na Mjumbe wa Kamati Kuu
ya CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Sheni baada ya kuwasili
  kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma,
kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete akishauriana jambo na
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama (kushoto) baada ya kupiga picha ya pamoja na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, kwenye viwanja vya  Ofisi ya Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma. 
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasalimia wana-CCM, alipowasili kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akishiriki kucheza wimbo wa hamasa ya Chama, alipowasili kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC)

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Samuel Sitta akimsalimia Mjumbe mwenzake, Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya, nje ya ukumbi, kabla ya kikao cha NEC mjini Dodoma.
Mjumbe wa NEC, Frederick Sumaye akizungumza na Mjumbe wa NEC
Kingunge Ngombale-Mwiru, walipokutana nje ya ukumbi, kabla ya kikao
cha NEC mjini Dodoma
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akishauriana jambo na Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, ukumbini kabla ya kuanza kikao
cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, mjini Dodoma
Wajumbe wa NEC wakiwa ukumbini kwenye kikao cha NEC mjini Dodoma 
Wajumbe wa NEC .
 
Picha Zote na Bashir Nkromo-Dodoma
 
Kwa hisani ya Blog za Mikoa

No comments:

Post a Comment