Kijana Joseph Mapunda mwenye umri wa miaka 40 amemuoa MAMA YAKE MZAZI Condorada Ngonyani, na wameishi kama mke na mume kwa miaka 10 sasa.
Kijana huyo amesema, upendo ni upendo tu, amempenda mama yake mzazi, wameoana, wanapendana, mnaowapinga mnataka nini?
Mama Condorada Ngonyani anasema mara baada ya mume wake, Mzee Mapunda kufariki dunia, alimchagua mtoto wake amrithi baba yake.
Mama Condorada Ngonyani mwenye umri wa miaka 70 ambaye anaishi kinyumba
na mtoto wake watatu wa kumzaa.
Wanandoa, mama na mwanawe, wakionekana kusononeka kwa nini watu wanaingilia ndoa yao.
Picha na Habari kutoka Songea Habari
No comments:
Post a Comment