Wednesday, July 25, 2012

Rais Kikwete akutana na Dk. Asha Rose Migiro Ikulu


 Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Dkt.Asha Rose Migiro ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment