Nkosazana Dlamini-Zuma, kutoka Afrika Kusini, amechaguliwa kuwa kiongozi mpya wa Tume ya Muungano wa Afrika.
Bi Zuma, amemshinda aliyekuwa kiongozi
wa tume,Jean Ping wa Gabon, katika uchaguzi mkali jijini Adis Ababa, Ethiopia.
Dlamini-Zuma, mwenye umri wa miaka 63, ni balozi
mzoefu, na alikuwa mstari wa mbele katika kupigania uhuru wa Afrika Kusini.
Kitaaluma mama huyo ni daktari wa mwanadamu na amewahi kuwa Waziri wa Afya na Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini.
Mumewe wa zamani, ambaye pia ni kiongozi wa
Afrika Kusini, Rais Jacob Nzuma, alikuwa miongoni mwa watu wa kwanza
kumpongeza.
Rais Zuma alisema; "Ushindi huu ni ufanisi mkubwa kwa Afrika, bara zima, umoja na mafanikio kwa wanawake ni muhimu sana."
Soma Zaidi
South Africa’s Home Affairs minister, Dr. Nkosazana Dlamini
Zuma, has been elected as the new chairperson of the African Union
Commission.
She beat the Gabonese diplomat, Jean Ping, who had been at
the helm for the past four years.
Dlamini-Zuma took the lead from the first round right until the end.
The African Union will today officially pronounce her as the continental
body’s new chief.
Wild celebrations as news trickled in that
Dlamini-Zuma had been crowned the AU’s Commission’s chairperson.
Team South Africa, led by President Jacob Zuma, was visibly elated as they congratulated the woman of the moment.
Dlamini-Zuma was the SADC’s region’s candidate.
It’s the first time that
a Southern African occupies this position in the AU’s 49 years of
existence.
It’s also a first for a woman to lead this continental body.
The AU
declared this decade as a decade for women, perhaps a fitting tribute
that it has bestowed such an honour to a woman.
She will be officially installed today at the new AU headquarters in Addis Ababa.
No comments:
Post a Comment