Wednesday, July 25, 2012

Kumbukumbu ya Siku ya Mashujaa Julai 25,2012

Rais akiwasili Mnazi Mmoja, Dar es Salaam
 Wimbo wa Taifa
 Askari wa JWTZ wakiwakumbuka mashujaa
 Askari wa zamani wa Tanzania Legion
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete Julai 25, 2012 ameongoza Watanzania katika kumbukumbu ya siku ya Mashujaa Kitaifa katika Bustani ya Mnazi Mmoja Dar es Salaam.
 Kiongozi wa Mabalozi na Balozi wa DRC Nchini, Khalfan Mpango akiweka shada la maua
 Meya wa Jiji la Dar es Salaam Mstahiki Dkt Didas Masaburi akiweka upinde na mshale katika mnara wa mashujaa kwente viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa Wazee wa Dar es Salaam Mzee Rashid Bakari Ngonja akiweka shoka.

No comments:

Post a Comment