Monday, June 4, 2012

Rais Kikwete akifanya mazoezi Arusha



Rais Jakaya Kikwete, anatumia mapumziko mafupi jijini Arusha, kufanya mazoezi ya kutembea kilomita tatu kila asubuhi na jioni kabla ya kufanya mazoezi ya viungo na kuingia gym, ili kuuweka mwili katika hali ya ukakamavu na afya. 
 
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment