Wednesday, June 13, 2012

Mwana FA atoa mpya


 Mwana FA
Dully Sykes
---


Msanii maarufu wa Bongo flava aliyeanza kung'aa mwaka 2002 alipotoa wimbo wa 'Ingekuwa vipi' ametoa single mpya 'Ameen' akiwashirikisha Dully Sykes na Ambwene Yesaya 'AY'

No comments:

Post a Comment