Wednesday, June 6, 2012

Mpigapicha jasiri anusurika kuliwa na mamba



NI habari inayosisimua na unaweza kujiuliza huyo mpigapicha alikuwa anataka nini hadi kuhatarisha maisha yake kiasi hicho.

Hebu fikiria, upo ufukweni, jirani yako kuna mamba mkubwa, unachukua kamera ya video kwa lengo la kumpiga picha mamba huyo huku unamringishia nyama ulioyoiweka chini!

Mamba anatoka kwenye maji kuifuata nyama hiyo, anaifikia, na anaufikia pia mkono wenye kamera na kuidondosha chini.

Mamba anarudi nyuma, unachukua samaki na kuanza tena kumringishia mamba huyo.

Soma hapo chini. 

A DARE-DEVIL cameraman narrowly avoided becoming dinner after a crocodile he was baiting on a remote beach had a go at his video camera. 

The footage on the NT News site, shot in East Arnhem Land, shows the man tempting the croc with meat left on the sand.

The saltie comes out of the water, has a go at the meat and then at the camera, knocking it over.

The hungry croc backs off and the cameraman returns, tempting the dangerous beast again with a fish.

He has posted his exploit to YouTube complete with a soothing though geographically misplaced soundtrack of panpipes.

No comments:

Post a Comment