Thursday, June 14, 2012

Bunge la bajeti linaendelea Dodoma


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisikiliza swali kutoka kwa  kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni Mjini Dodoma leo asubuhi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowasa akizungumza na Mbunge wa Vunjo, Augustine Lyatonga Mrema.  
Anayeshuhudia ni Mbunge Christopher Ole Sendeka
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wanachuo wa Chuo cha Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa cha Hombolo, Dodoma kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo asubuhi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Sengerema., William Ngeleja kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment