Thursday, May 24, 2012

Rais Kikwete akiongoza semina elekezi Dodoma


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Waziri wa TAMISEMI Hawa Ghasia wakiongoza Mafunzo ya Wakuu wa mikoa, Makatibu Tawala wa mikoa na Wakuu wa wilaya yanayofanyika katika ukumbi wa St.Gaspar mkoani Dodoma.


Rais Kikwete akizungumza wakati mafunzo ya wakuu wa mikoa,makatibu tawala na wakuu wa wilaya inayoendelea katika ukumbi wa St.Gaspar mkoani Dodoma.
Baadhi ya Wakuu wa Mikoa na wilaya wanaoshiriki katika mafunzo katika ukumbi wa St.Gaspar mkoani Dodoma.(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment