Monday, May 14, 2012

Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Dodoma

 

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete akifungua kikao hicho
 Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akitoa maelezo ya utangulizi mwanzoni mwa kikao
 
 Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Mzee Yusuf Makamba akiteta jambo na Adam Malima.
 
 Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye akijadiliana jambo na Kingunge Ngombale Mwiru na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya CCM Peter Kisumo
 
 Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) John Chiligati na Andrew Chenge wakibadilishana mawazo
 Wajumbe wakaiwa kikaoni
 Wajumbe wakiwa kikaoni
 Kapteni John Chiligati na Waziri Emmanuel Nchimbi wakisalimiana ukumbini.
 Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samuel Sitta akisalimia wajumbe ukumbini.
 Wajumbe wa NEC wakisalimiana nje ya ukumbi mjini Dodoma.Kushoto ni Asha Baraka, Meya wa Ilala Jerry Silaa na Mzee Madabiba.
 Katibu Mkuu wa UVCCM, Martin Shigella akizungumza nje ya ukumbi na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, William Kusila na Waziri Maghembe.
 Waziri wa Ulinzi, Shamsi Vuai Nahodha akisalimiana na Profesa Mwakyusa.
 Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ukumbini mjini Dodoma.
 
( Picha kwa hisani ya blog ya CCM).

No comments:

Post a Comment