Thursday, May 24, 2012

Hali ilivyokuwa Mahakama kuu, Chadema wameshinda


Wafuasi wa Chadema wakiwa nje ya jengo la Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam, leo.
Mnyika anafika mahakamani
John Mnyika(katikati) na wafuasi wa Chadema wakiingia Mahakamani kusikiliza hukumu.
Waandishi wa Habari nao walikuwepo mahakamani.
Wafuasi wa CCM wakiwa Mahakamani
Mlalamikaji katika kesi hiyo, Hawa Ng'umbi akiwa na John Mnyika mahakamani leo.

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akipeana mkono na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika.
Baadha ya kutolewa kwa hukumu na Jaji Upendo Msuya wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam wapenzi na mashabiki wa Chadema walilipuka kwa furaha.
Mbunge wa Ubungo, John Mnyika akiwa amebebwa juu juu na wafuasi wa chama chake baada ya kutangazwa mshindi.

No comments:

Post a Comment