Moja ya picha ya mwanasoka maarufu duniani, David Beckham zitakazotumika katika jarida litakaloanza kuuzwa Januari 30 mwaka huu.Kuna taarifa zinazodai kuwa, licha ya Beckham kuwa na tatuu katika sehemu kubwa ya mwili wake, ameongeza nyingine hivi karibuni.











No comments:
Post a Comment