Monday, November 21, 2011

Papa Benedict XVI amaliza ziara nchini Benin

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Benedict wa XVI akiwa kwenye ndege wakati ikitua jijini Rome Italia akitoka katika ziara nchini Benin jana Novemba 20,2011
Papa Benedict wa 16 akiwaaga wananchi wa Benin kabla hajaondoak kurudi nyumbani Italia.
Papa akimuaga Rais wa Benin, Boni Yayi katika uwanja wa ndege jijini Cotonou nchini Benin.


Muumini akisali wakati wa misa iliyoongozwa na Papa Benedict wa XVI jana nchini Benin.



Papa akisindikizwa kwenda kupanda ndege iliyomrudisha nchini Italia jana Novemba 20,2011.

Papa anazungumza na Rais Boni Yayi wa Benin katika uwanja wa ndege.

Papa anambariki muumini nchini Benin.



Papa anawaaga waumini nchini Benin jana.

Papa akiwa na Rais wa Benin, Boni Yayi muda mfupi kabla ya kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki duniani kuondoka nchini humo kurudi Italia.



Papa siku alipowasili nchini Benin, Novemba 18,2011

No comments:

Post a Comment