Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger anaamini kwamba, mchezaji aliyejiunga kwenye klabu hiyo msimu huu, Gervinho kapewa zawadi ambayo wanasoka wachache wanayo.
Kwa mujibu wa Wenger, ni nadra sana kwa mchezaji kuweza kuwapita mabeki ndani ya 18, kijana huyo raia wa Ivory Coast ana uwezo huo.
Anasema, movements za Gervinho ni silaha muhimu kwa Arsenal, na pia uwezo wa mchezaji huyo kufunga na kutengeneza nafasi za kucheka na nyavu a.k.a kutupia, ni hazina muhimu kwa klabu hiyo.
Alichosema Babu Wenger ni kweli, Gervinho ni muhimu sana kwa Arsenal hivi sasa, na asipokuwepo uwanjani unaona tofauti.
Soma hapo chini
Arsène Wenger believes Gervinho has a gift that few footballers have - the ability to beat his man in the box.
The Ivory Coast international produced an outstanding performance against Stoke on Sunday, scoring one and setting up both Robin van Persie goals to earn a standing ovation when he left the pitch in stoppage time.
Wenger says Gervinho’s dynamism in the final third makes a difference to Arsenal’s attacking play and can give any defence a problem.
“It is very rare when people have that [ability to beat players in the penalty area] because you need to be quick over a very short distance without losing the ball,” the Frenchman said. “Gervinho has that capability.
“He has the capability to score and make assists. I would say as well his mobility [is key] - our game is based on that.
“His movement is great - he moves well in the final third - and he can pass people there too. We saw that on both occasions against Stoke for Robin's goals.
“Other teams are tempted to put the quickest defender on Theo Walcott but Gervinho is very quick as well. We multiply our options speed-wise with him."
No comments:
Post a Comment