Rais Jakaya Kikwete (kulia) alipokwenda kumjulia hali Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe nyumbani kwake Kunduchi Mtongani, Dar es Salaam.(Picha na Freddy Maro).
Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe ameondoka Dar es Salaam jana kwenda hospitali ya Apollo nchini India kutibiwa.
Mwanasiasa huyo maarufu nchini ana tatizo la kiafya linalosababisha mwili wake uvimbe.
No comments:
Post a Comment