Tuesday, June 28, 2011

Kim Kardashian anatafuta nguo ya harusi yake

Nyota wa kipindi cha Reality TV, Kim Kardashian akitoka katika duka la mtu anayedaiwa kuwa ndiye atakayebuni nguo ya harusi ya star huyo, Vera Wang.




Kim Kardashian (30) akiwa na Vera Wang.


Kwa mujibu wa tovuti ya Zimbio na gazeti la Daily Mail la Uingereza, mama huyo kapewa jukumu la kubuni nguo ya harusi ya mdada huyo anayedaiwa kuwa ni mjamzito.

No comments:

Post a Comment