Monday, May 23, 2011

Shangwe Man United

Kocha wa Man United, Sir Alex Furgerson akishangila ubingwa wa soka England 2010/11

Raha ya ushindi

Mshambuliaji nyota wa Mashetani Wekundu, Wyne Rooney akiwa na mwanawe, Kai, baada ya Man United kukabidhiwa kombe katika uwanja wa Old Trafford.

Kipa wa Man United, Edwin Van Der Sar akiwaaga mashabiki.






Mshambuliaji mkongwe wa Man U, Ryan Giggs, akishangilia na wanawe, Zach(mwenye jezi ) na Libby.



Shabiki wa Black Pool akishuhudia jahazi likizama jana Old Trafford, England.

'Duh, tunashuka daraja'

Poleni Black Pool kwa kushuka daraja

No comments:

Post a Comment