Wednesday, May 18, 2011

Mtalaka wa Schwarzenegger avunja ukimya



Aliyekuwa mke wa aliyekuwa Gavana wa jimbo la California, mcheza sinema maarufu, Anorld Schwarzenegger, Maria Shriver akiwa na mtangazaji maarufu wa televisheni, Oprah Winfrey katika kipindi jana usiku.


Mama huyo amesema kwenye kipindi cha Oprah kuwa, inamuuma na yupo kwenye wakati mgumu.


Anasema, jambo la msingi kwake kwa sasa ni watoto, anahitaji heshima na privacy ili watibu majeraha na kujijenga upya kifamilia.


Maria ametengana na Schwarzenegger baada ya kubaini kuwa, nyota huyo wa sinema amezaa na mfanyakazi wao wa ndani, Mildred Baena (50).


Waliishi kwenye ndoa kwa miaka 25, wana watoto wanne.


soma hapo chini


'This is a painful and heartbreaking time,' Shriver said yesterday.



'As a mother, my concern is for the children. I ask for compassion, respect and privacy as my children and I try to rebuild our lives and heal. I will have no further comment.'


Shriver and the Terminator star have four children together; Katherine, 21, Christina, 19, Patrick, 17, and Christopher, 13.

No comments:

Post a Comment