Thursday, May 19, 2011

'Mashine' za Man United

Wachezaji nyota wa klabu ya Man United ya Uingereza, winga Antonio Valencia (kushoto) na mshambuliaji Javier Hernandez a.k.a Chicharito.

Vijana hawa ni miongoni wa wachezaji wanaotegemewa na Mashetani wekundu wakati wa mpambano wa fainali ya Klabu Bingwa barani Ulaya, dhidi ya Barcelona.

No comments:

Post a Comment