Wednesday, May 11, 2011

Kaka anakwenda Chelsea


Nyota wa Brazil, Kaka (katikati) akipambana na kiungo wa timu ya taifa ya England, Stephen Gerrad.


NYOTA wa soka nchini Brazil KAKA, anatarajiwa kuihama Real Madrid, anakwenda kwa matajiri wa London, Chelsea.


Kiungo huyo mshambuliaji aling'ara wakati akiwa katika Ligi kuu ya Italia 'Serea A' lakini tangu ahamie jijini Madrid, kiwango chake kinaonekana kupungua.


Soma hapo chini


Brazil star Kaka is in line for a sensational move to Chelsea after his mother revealed on Twitter that the family are moving to London this summer.


The 29-year-old midfielder, who has slipped down the pecking order at Real Madrid since his £59million move from AC Milan two years ago, has long been linked with a move to team up again with his former boss Carlo Ancelotti.


However, Kaka’s mother, Simone Leite, appears to have confirmed that a deal is done after tweeting: ‘We are going to be in London next season where we

No comments:

Post a Comment