Monday, April 4, 2011

Shakira na beki Barcelona kwa raha zao

Malavidavi ya mwanamuziki maarufu duniani , Shakira na mlinzi wa mabingwa wa soka Hispania, Barcelona, Gerard Pique.
Pique kwenye mtoko na mpenzi wake, Shakira


Pique akiwa na kombe la dunia baada ya Hispania kulitwaa nchini Afrika Kusini mwaka jana.

ZILIKUWA tetesi, lakini sasa ni ukweli ulioshinda hakika kwamba, mwanamuziki maarufu duniani, Shakira, yupo kwenye penzi motomoto na beki wa timu ya soka ya Barcelona na timu ya taifa ya Hispania, Gerard Pique.


Uhusiano huo umewaudhi mashabiki wa wapinzani wakuu wa Barcelona, Real Madrid, na wimbo maarufu wa Shakira, Waka waka sasa umepigwa marufuku katika uwanja wa Klabu hiyo.


Soma hapo chini


GERARD PIQUE's relationship with SHAKIRA has been well received in Barcelona - but not so at footie rivals Real Madrid.


The Colombian singer's track Waka-Waka has been pulled from the Bernabeu playlist following her decision to go public about the Barcelona and Spain defender.

The song, which was the official anthem for the 2010 World Cup in South Africa which Spain won, was regularly played during the pre-match build-up and at half-time during Real home games. But all traces of the track have now been removed.

Not that Shakira will be bothered. She's too besotted with her new fella to care about her track being banned.

Barcelona defender , Pique and Colombian performer Shakira have been a couple for some time.

There relationship has generated an incredible amount of interest and now that the pair are beginning to open up we are being treated to a mass frenzy whenever they are seen in public together.

Therefore when they not only seen together but are actually, shock horror, kissing then basically the world almost stops spinning on its axis.

No comments:

Post a Comment