Wednesday, April 20, 2011

Samahani wadau, tupo pamoja

BILA shaka upo OK na unaendelea vizuri na pilika za kila siku.


Namshukuru Mungu sijambo, tuombeane heri.


Samahani kwa 'kutoweka' kwa zaidi ya wiki moja, ni kwa sababu ya majukumu mengine.


Tupo pamoja.

No comments:

Post a Comment