Friday, April 29, 2011

Mtoto wa Princess Dianna kuoa leo

Wanasubiri kuwaona maharusi



Mashuhuda


Barabara ya kwenda eneo la tukio


Gari la maharusi


Maharusi watarajiwa, Prince William na Kate Middleton


Bwana harusi mtarajiwa, Prince William


Wanasubiri ndoa ya mjukuu wa Malkia


Best Man wa Prince william, Prince Harry.



Familia ya Kate ikiwa nje ya Hoteli ya Goring alipolala bibi harusi mtarajiwa na familia yake.

Kutoka kushoto ni dada yake, Pippa, mama yao, Carole na Kate.



Kate (katikati), akiwa na mama dada yake, Pippa ( kushoto) na mama yao, Carole


Dada wa bibi harusi mtarajiwa, Pippa na mama yake, Carole


Kate akiwapungia mkono well wishers








Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron naye atakuwepo kwenye sherehe ya ndoa ya mjukuu wa Mfalme.

No comments:

Post a Comment