Monday, April 4, 2011

Mmiliki Fulham awatukana mashabiki

Mohamed Al Fayed Sanamu ya Michael Jackson

Mohamed Al Fayed akipozi mbele ya sanamu hiyo jana Jumapili


MMILIKI wa timu ya soka ya Fulham, Mohamed Al Fayed, amewaponda mashabiki wajinga wa timu hiyo kwa kuwaeleza kuwa, kama hawaipendi sanamu ya mwanamuziki maarufu duniani, Michael Jackson, aliyoiweka kwenye eneo la klabu hiyo, waende jehanamu.

Mwenyekiti huyo amewatukana mashabiki hao jana wakati anaizindua sanamu katika uwanja wa Craven Cottage na kusema, wasioipenda waende wakawashabikie wapinzani wao, Chelsea.

Mfanyabiashara huyo amewaambia mashabiki hao kwamba, kama hawaelewi au hawaamini kile anachokiamini yeye, waende wakaishabikie Chelsea au mahali pengine kwa kuwa hawataki watu wa aina hiyo.

Soma hapo chini

He has told ‘stupid’ Fulham fans to ‘go to hell’ if they do not like the Michael Jackson statue unveiled at the club on Sunday.

The Fulham chairman said fans could go and support west London rivals Chelsea if they did not appreciate the controversial memorial.

Thriller: Fulham owner Al Fayed stands proudly in front of the Michael Jackson statue at Craven Cottage

Fayed said: 'Why is it bizarre? Football fans love it. If some stupid fans don’t understand and appreciate such a gift they can go to hell.

I don’t want them to be fans. If they don’t understand and don’t believe in things I believe in they can go to Chelsea. They can go to anywhere else.

‘People will queue to come and visit it from all over the UK and it is something that I and everybody else should be proud of.’ Fayed unveiled the 7ft 6in statue of the deceased singer before Fulham’s 3-0 win over Blackpool.

Positioned inside Craven Cottage between the Hammersmith and Riverside stands and overlooking the River Thames, the memorial has the the lyrics to Jackson’s 1988 hit Man in the Mirror inscribed on the two-and-a-half-tonne granite base and cost Fayed £100,000.

No comments:

Post a Comment