Thursday, March 31, 2011

Ronaldo Mtarajiwa



MTAANI wanamwita Ronaldo a.k.a Choda kwa sababu anapenda sana kucheza soka na wengine wanamwita mzee wa mashuti pengine kwa kuwa ana mikwaju na mbwembwe kama za wachezaji wanapojiandaa kupiga mipira ya adhabu.


Ni kawaida wa watoto kupenda mpira lakini nahisi Brian anapenda soka kuliko michezo mingine yote anayoifahamu.


Unaweza usiamini lakini ni ukweli kwa Brian mara nyingi anaota usiku na kutaja neno mpira mpira mpira! na wakati wa jioni huwa anachukua mpira wake na kuomba afunguliwe mlango akacheze mpira nje na wenzake.


Ukipita nae madukani na akaona mipira lazima atakuonesha ili umnunulie na usipofanya hivyo lazima mkosane, huyo ndiye Brian Basil Msongo.


Namuomba Mungu anijalie uhai na neema niweze kulea kipaji chake na ikiwezekana Tanzania impate Ronaldo au Messi wake, kila la heri Brian.

5 comments:

  1. Greetings from Idaho! I'm bored to tears at work so I decided to check out your website on my iphone during lunch break. I love the knowledge you present here and can't wait to take a look when I get home.
    I'm amazed at how quick your blog loaded on my phone .. I'm not even using WIFI, just 3G .

    . Anyhow, very good site!

    My site ... vidéo sexe mobile gratuite

    ReplyDelete
  2. I don’t even know how I ended up here, but I thought
    this post was great. I do not know who you are but definitely you're going to a famous blogger if you are not already ;) Cheers!

    Check out my page; moodle.seda.ac.uk

    ReplyDelete
  3. It is actually a great and useful piece of info.
    I'm satisfied that you shared this useful information with us. Please keep us informed like this. Thank you for sharing.

    Also visit my website ... waist to height ratio ranges

    ReplyDelete
  4. Great post.

    Also visit my site: raspberry ketone diet

    ReplyDelete
  5. It is in reality a nice and useful piece of information.

    I am glad that you just shared this useful info with us.
    Please stay us up to date like this. Thank you for sharing.


    Check out my weblog: exercises for vertical jump

    ReplyDelete