Tuesday, January 18, 2011

Kila la heri 2011

POLE kwa ukimya wa muda mrefu, sikupanga iwe hivyo ila ilibidi iwe ilivyokuwa.

Naamini umeuanza vizuri mwaka 2011 na bila shaka utaweza kuzimudu changamoto nyingi za mwaka huu, kila la heri.
Tuombe msaada wa Mungu, tujilinde.

No comments:

Post a Comment