Thursday, May 27, 2010

Mtoto anavuta sigara 40 kila siku




HUYU mtoto kiboko! anavuta sigara 40 kila siku, baba yake mzazi haoni kuwa ni tatizo kwa kuwa dogo anaonekana ana afya nzuri.
Wakati mama mzazi wa mtoto huyu anasimulia 'ulevi' wa mwanawe alikuwa anabubujikwa machozi, inamuuma lakini ameshindwa kumzuia.
Kwa mujibu wa mama huyo, Diana (26), Ardi Rizal akikosa sigara anakasirika, anatetemeka, na kubamiza kichwa ukutani.
'Ulevi' wa sigara wa mtoto huyo wa Indonesia unawagharamu wazazi wake paundi 3.78 kila siku na akikosa sigara hujihisi anaumwa.
Maofisa nchini humo waliahidi kutoa zawadi ya gari jipya kwa wazazi wa mtoto huyo kama wangeweza kumfanya aache kuvuta sigara, wameshindwa.
Soma hapo chini
Ardi Rizal sits smoking on his favourite toy at home in Musi Banyuasin, Indonesia.
But, despite local officials' offer to buy the Rizal family a new car if the boy quits, his parents feel unable to stop him because he throws massive tantrums if they don't indulge him.

His mother, Diana, 26, wept: 'He's totally addicted. If he doesn't get cigarettes, he gets angry and screams and batters his head against the wall. He tells me he feels dizzy and sick.
'Ardi will smoke only one brand and his habit costs his parents £3.78 a day in Musi Banyuasin, in Indonesia's South Sumatra province.
But inspite of this, his fishmonger father Mohammed, 30, said: 'He looks pretty healthy to me. I don't see the problem.'

Ardi's youth is the extreme of a disturbing trend. Data from the Central Statistics Agency showed 25 per cent of Indonesian children aged three to 15 have tried cigarettes, with 3.2 per cent of those active smokers.

The percentage of five to nine year olds lighting up increased from 0.4 per cent in 2001 to 2.8 per cent in 2004, the agency reported.

No comments:

Post a Comment