Wednesday, January 6, 2010

Happy birthday Brian

DESEMBA 25, 2009, kwa mara ya kwanza alisheherekea Krismasi, Januari Mosi mwaka huu ilikuwa ni mara yake ya kwanza kusheherekea mwaka mpya, na leo ni birthday yake ya kwanza!

Hongera Brian kwa kutimiza umri wa mwaka mmoja, Mungu azidi kukulinda.

4 comments:

  1. hongera mtoto mzuri. pia hongereni sana wazazi kwa kukuza mtoto ana afya nzuri.

    ReplyDelete
  2. Hongera baby boy BRIAN God bless u,, stay bless u.. usiige tabia ya BABA YAKO!

    ReplyDelete