Thursday, December 31, 2009

Kawawa afariki dunia

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Rashid Mfaume Kawawa(83) amefariki dunia.

Mwanasiasa huyo ameaga dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam.

1 comment:

  1. Poleni Watanzania wote. Tumemkosa mtu muhimu sana. Alikuwa "reference" yetu. Mungu amlaze mahali pema peponi

    ReplyDelete