Tuesday, September 8, 2009

Ni single ya ndoa ya Cole?

Ashley Cole na mke wake, Cherly
MKE wa Mlinzi wa kimataifa wa timu ya Chelsea ya Uingereza na timu ya taifa ya soka ya nchi hiyo, Ashley Cole , Cheryl ametoa wimbo inayotafsiriwa kuwa unaihusu ndoa yake.

Katika wimbo huo Cherly kazungumzia umuhimu wa kupigania penzi au kitu chochote kama vina thamani kwa muhusika.


Ndoa ya Cole na Cherly imekuwa ikikumbwa na misukosuko kwa nyakati tofauti lakini Cherly amekuwa imara kuhakikisha kwamba inadumu.


Soma zaidi hapo chini


The song insists: 'Anything that's worth having is sure enough worth fighting for. 'Quitting is out of the question, when it gets tough we got to fight for more. We got to fight for this love.


' In recent years Cheryl has endured lurid newspaper headlines about the state of her relationship with husband Ashley.


The Chelsea footballer was arrested on suspicion of being drunk and disorderly in May this year while Cheryl was climbing Mount Kilimanjaro for charity.


And in 2008 he reportedly had a fling with hairdresser Aimee Walton.


But 26-year-old Cheryl was determined to make their marriage work, and stood by the England footballer.


The lyrics to her new single seem to reflect this attitude.

No comments:

Post a Comment