Tuesday, July 14, 2009

'Usimple' wa Michelle Obama

Wakati mwingine unaweza kudhani watu wanampendelea kwa kummwagia sifa lakini kwa mtazamo wangu mavazi ya Michelle Obama yanamtofautisha na wake wa marais wengine wakiwemo wa nchi za Afrika.
Angalia nguo aliyovaa, angalia viatu alivyovaa, lini umewahi kumuona mke wa Rais yupo simple hivi?
Si nguo tu, mikononi duh, very very simple, angekuwa mwingine hapo makoro koro kibao.

No comments:

Post a Comment