UNAWEZA usiamini lakini huo ndiyo ukweli, picha hizo juu ni Michael Jackson(50) saa 48 kabla ya kuaga dunia.
Ukizitazama unaweza kupata hisia tofauti na pengine kujiuliza ilikuwaje alikuwa anavyoonekana halafu saa 48 baadaye akafariki dunia.
Alipigwa picha hizo akiwa jukwaani akifanya mazoezi kwa ajili ya maonyesha ya muziki yaliyopangwa kufanywa mwezi juu.
Nyota huyo wa muziki wa POP ataagwa rasmi Jumanne.
No comments:
Post a Comment