Wednesday, May 20, 2009

Nao walikuwepo

Wake wa Jacob Zuma, Nompumelelo Ntuli(kushoto) na Thobeka Mabhija wakishuhudia mume wao akiapa kuwa Rais wa Afrika Kusini

Rais Zuma na mkewe wa kwanza, Sizakele Khumalo

Mzee Nelson Mandela na mkewe, Graca.

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe na mkewe, Grace wakati wa sherehe za kuapishwa Zuma jijini Pretoria.

Rais Zuma akimshukuru mzee Mandela kwa support aliyompa.

1 comment:

  1. Nilikua namuona mtu wa maana sana, na mara nyingi mimi ni mtu ambaye sipendi kujali sana maisha binafsi ya watu, kama bwana huyu kuwa na wake wengi kwenye karne hii, ila kitendo chake cha kutochagua hata waziri mmoja mwanamke kimenisikitisha sana, nishamtoa kwenye orodha yangu ya watu wa maana (hata kama hiyo haitampunguzia chochote, maana hata hajui kama nipo duniani),maana siamini kama SA hamna wanawake wenye uwezo wa kuwa mawaziri.

    ReplyDelete