Friday, May 1, 2009

Mhariri Redio Uhuru afariki dunia

MHARIRI Mkuu wa Redio Uhuru ya Dar es Salaam, Deogratius Kiduduye amefariki dunia nchini Nigeria.
Mwandishi huyo mwandamizi ambaye pia ni mtangazaji alikwenda kutibiwa ugonjwa wa kisukari.
Mipango ya kuuleta mwili wake inaendelea, anatarajiwa kuzikwa mkoani Kigoma.

No comments:

Post a Comment