Mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald mengi ameyasema maneno hayo leo jijini Dar es Salaam.
"Sisi wote ni maua katika bustani ya mwenyezi Mungu, kuna maua mekundu, kuna maua ya rangi ya kijani, kuna maua ya bluu..."
"Wewe ni nani umcheke mwenzako ambaye ana rangi tofauti na ya kwako...sisi ni nani mbele ya mwenyezi Mungu tuseme fulani hafai?"
"Sisi ni nani tuseme huyu si sawa, sisi ni nani tumnyanyapae....mauaji ya albino yanatokana na watu kumsahau Mungu"
"Tusitendee wenzetu kile ambacho hatutaki kutendewa"
"Wale ambao kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu ni albino wamshukuru Mungu, wajivunie kuwa hivyo... simameni mseme mimi I'm proud to be albino"

No comments:
Post a Comment