Tuesday, April 14, 2009

Kanisa linabariki ndoa si suti, shela

"VIJANA wengi wanakwepa taratibu za kanisa na kuoana kinyemela, acheni kuwa na hofu kwa kukosa suti ama shela, kanisa halibariki suti ya mtu wala fedha zake, wanaobarikiwa ni wanandoa"
"Kuna vijana nataka waje kuwa mfano kwa wengine...wavae kanga, kijana wa kiume akiwa amevaa kaptura na wote chini wavae kandambili na tutawafungisha ndoa" Mchungaji John Luwesya, Kanisa la Morovian Usharika wa Ruanda, Mbeya.

No comments:

Post a Comment