Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Jakaya Kikwete amesema wapinzani hawamnyimi usingizi kwa kuwa ana uhakika kuwa chama hicho kitashinda katika uchaguzi mkuu ujao mwakani.
Rais amesema, jambo la kujiuliza sasa si kama CCM itashinda au vipi, ila watashinda kwa kiasi gani.
Sifahamu vyama vya upinzani vimeitafsiri vipi kauli hii ila nina uhakika imewaumiza hata kama hawasemi.
Kwa kuwa lengo la chama chochote cha siasa ni kushika dola, kauli ya JK ina maana kwamba, wapinzani bado wapo wapo sana
No comments:
Post a Comment