Hapo vipi? Juu ni nyumba ya msanii maarufu wa miondoko ya Bongo flava, Judith wambura, a.k.a Lady Jay Dee, a.k.a Binti Machozi, a.k.a Komando, a.k.a Jide
Picha ya chini ni JD akiwa sebuleni nyumbani kwake, mambo ya red, imekaaje hiyo?
Weeh uache kujenga kisa mtoto? kama hukujaliwa jamani! Kila mtu ana majaliwa yake, wengine mali, wengine elimu, wengine pesa, wengine watoto ....... vyote arundikiwe mtu mmoja? Nimeona wenye watoto na raha hawana ..... hapo vipi?
Hivi Jay dee una mtoto..?? Raha ya nyumba kubwa hivyo ni kuwa na watoto...
ReplyDeletemtoto ni majaaliwa ya Mungu, acha ajinafasi kwa raha zake. Hilo lote donge na roho ya kwanini.
DeleteWeeh uache kujenga kisa mtoto? kama hukujaliwa jamani! Kila mtu ana majaliwa yake, wengine mali, wengine elimu, wengine pesa, wengine watoto ....... vyote arundikiwe mtu mmoja? Nimeona wenye watoto na raha hawana ..... hapo vipi?
DeleteNa kukubali dada angu ktk game la mziki Yaani ndani ya tizz no any artistian gilr like her love you so much all da best on your activities
ReplyDeleteI'real lyk u my sis i wish 2 talk 2 u n c u 1 day .all da best n be blecd.
ReplyDeleteJay Juu Juu zaidi! Wale wanaotumbukiza vijineno washindwe tena washindwe kabisaa, Jay kiwango dada! "Watasema mchana usiku watalala .........eeh eeh!"
ReplyDeleteJay dee endelea kumwomba Mungu.Naomba nikupe neno PUSH {Pray Until Something Happen]
ReplyDeleteHi binti wa machozi band, keepit up.
ReplyDelete