Friday, February 13, 2009

BREAKING NEWS

KUNA taarifa kwamba muda mfupi uliopita basi dogo la abiria limegongana na lori katika barabara ya Chalinze- Segera mkoani Pwani.

Inadaiwa kwamba watu wengi waliokuwa wakisafiri kwenye basi hilo wamekufa, taarifa zaidi baadaye.

No comments:

Post a Comment