Wednesday, November 28, 2012

Mtoto aliyeunguzwa, kukatwa mkono atoa ushahidi mahakamani


Mtoto Aneth na mama yake mzazi (kulia) wakiingia eneo la mahakama.


WILVINA MKANDALA ANAYETUHUMIWA KUMUUNGUZA NA KUSABABISHA KUKATWA KWA MKONO WA MTOTO ANETH AKIINGIZWA MAHAKAMANI HUKU AKIWA HATAKI KUPIGWA PICHA.
Wakazi wa Mbeya wakiwa mahakamani kusikiliza kesi hiyo.

MTOTO ANETH AKISALIMIANA NA MAMA ALIYEMUHUDUMIA HOSPITALINI KABLA YA MAMA YAKE MZAZI KUJA KUTOKA BUKOBA
MAMA ANETH AKIONDOKA NA MWANAE MARA BAADA YA HAKIMU KUMUONA MTOTO HUYO NA KUPATA MAELEZO TOKA KWA MTOTO ANETH. MTOTO HUYO ALISHINDWA KABISA KUONGEA MARA TU ALIPO MUONA SHANGAZI YAKE ALIYEMCHOMA MOTONA KUSABABISHA MKONO WAKE UKATWE.
MTOTO ANETH MARA TU BAADA YA KUTOKA KATIKA CHUMBA CHA MAHAKAMA AKISUBIRI KURUDISHWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA KUENDELEA NA MATIBABU.Kwa hisani ya blog ya Mbeya Yetu

No comments:

Post a Comment