Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akitoa salam za chama hicho, kwenye msiba wa msanii, Joseph Maganga, Mwananyamala, Dar es
salaam.
Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi CCM, Nape Nnauye akiwa kwenye
shughuli ya kuaga mwili wa msanii, John Maganga, Mwananyamala, Dar es
salaam
Msanii wa Bongo Movie, Husna Maulidi 'Lishez', akituliwa na wenzake,
Babby Candy na Ketty wakati akilia kwa uchungu, wakati wa kuaga mwili wa
Msanii wa Bongo Movie, marehemu John Maganga
Wasanii wa Bongo Movie wakibeba jeneza lenye mwili wa msanii mwenzao,
John Maganga, wakati wa kuaga mwili huo, Mwananyamala, Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment