Wednesday, August 1, 2012

Waziri Mkuu Pinda nje ya Bunge jana

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na  Mbunge  wa Sumve, Richard Ndassa kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma  Julai 31,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Lushoto, Henry  Shekifu (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum, Leticia Nyerere kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 31,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment