Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hali halisi , inayochapisha Gazeti la Mwana Halisi Saed Kubenea, akiongea na Waandishi wa habari katika Ofisi za Kampuni hiyo kuhusu malalamiko yake kwa serikali kutokana na kufungiwa kwa gazeti la Mwana Halisi.
Kubenea alilaani vikali uamuzi huo uliochukuliwa na serikali na hivyo kuitaka serikali kufuta mara moja Tamko lake.
Kushoto ni Mhariri wa Gazeti hilo Jabir Idrissa.
Waandishi wa habari wakimsikiliza Kubenea |
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hali halisi , inayochapisha Gazeti la Mwana Halisi Saed Kubenea, akionyesha baadhi ya Magazeti
yaliyolalamikiwa na Serikali.
yaliyolalamikiwa na Serikali.
Chanzo:fullshangweblog
No comments:
Post a Comment