Monday, July 30, 2012

Gazeti la Mwanahalisi lapigwa stop!

 
Mhariri Mtendaji wa Mwanahalisi, Said Kubenea.

GAZETI la Mwanahalisi limefungiwa kwa muda usiojulikana kwa madai kuwa linachapisha habari na makala zisizo na tija kwa jamii. 

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Habari (MAELEZO), Phabian Lugaikamu, amesema leo jijini Dar es Salaam kuwa, katika toleo la gazeti hilo namba 302, 303 na 304 ya mwaka 2012 na mengine yaliyotangulia yalichapisha habari na makala zenye kueneza na kujenga hofu kwa jamii.
 
“Mhariri wa gazeti la Mwanahalisi ameitwa na kuonywa mara nyingi lakini hataki kukiri kuwa maudhui ya makala zake hazina tija kwa jamii,pia hazifuati weledi na maadili ya taaluma ya uandishi wa habari”amesema wakati anasoma tamko la Serikali.

Lugaikamu amesema, mhariri huyo mara zote katika utetezi wake amekuwa akinukuu kifungu cha 18 cha katiba ya nchi kinachotoa uhuru wa kutoa maoni na kwa makusudi kutokunukuu kifungu ca 30 cha katiba hiyo kinachoweka ukomo wa uhuru.
 
“Serikali imeamua kulifungia gazeti hilo kutochapishwa kwa muda usiojulika kwa mujibu wa sheria ya magazeti ya mwaka 1976, kifungu namba 25(i),adhabu hiyo itaanza tarehe 30 julai,2012 kwa mujibu wa tangazo la serikali namba 258 lililochapishwa katika gazeti la Serikali na kutolewa jijini Dra es salaam julai 27,2012”amesema.

3 comments:

  1. Its like you read my mind! You seem to know a lot about this, like you wrote the
    book in it or something. I think that you could do with
    a few pics to drive the message home a bit, but instead of that, this is wonderful blog.
    An excellent read. I will definitely be back.
    My web site - Koldfront PAC1401W

    ReplyDelete
  2. I'm impressed, I have to admit. Seldom do I encounter a blog that's both educative and amusing, and let me tell
    you, you've hit the nail on the head. The issue is an issue that not enough men and women are speaking intelligently about. I am very happy I came across this in my search for something relating to this.

    My web site ... click here

    ReplyDelete
  3. The artiсle features confirmed beneficial to uѕ.
    It’s verу useful and you are nаturally quite κnоwleԁgeablе οf this type.
    Үou get openeԁ οuг eyеs to different thoughtѕ about this subϳeсt matter
    ωith intriguing аnԁ sοlid articles.


    Alѕo viѕit mу blog :: buy klonopin
    Feel free to visit my homepage klonopin online

    ReplyDelete